- *LAN (Local Area Network)* — mtandao wa karibu (nyumba, ofisi)
- *WAN (Wide Area Network)* — mtandao mkubwa zaidi (kama mtandao wa intaneti wenyewe)
---
*10. Wi‑Fi vs Data*
- *Wi‑Fi* — mtandao unaotoka router ndani ya nyumba/eneo.
- *Mobile Data* — mtandao unaotoka kwa supplier kama Vodacom, Tigo nk.
---
π *SEASON 3: Browsers & Search*
*11. Web Browsers*
Ndio programu zinazoruhusu kutazama internet:
- *Chrome*
- *Firefox*
- *Opera*
- *Edge*
Kazi ya browser ni:
➡️ Kupokea HTTP/HTTPS requests
➡️ Kuonyesha web content
---
*12. Search Engines*
Hizi ni injini zinazokusaidia kupata taarifa:
- *Google*
- *Bing*
- *Yahoo*
Unaingiza maneno (keywords) → search engine itakuletea majibu kutoka websites.
---
*13. Jinsi Search Engines Zinavyofanya Kazi*
Search engines hu:
1. *Spider/Crawl* — kutembelea pages zote mtandaoni
2. *Indexing* — kuorodhesha kila ukurasa
3. *Ranking* — kupanga matokeo kulingana na matumizi ya maneno
---
*14. Keyword Search*
Katika kutafuta,
*Usitumie sentence ndefu*
Badala yake tumia:
> “Sehemu ya download apps bila Google Play”
hii itakupa matokeo sahihi zaidi.
---
*15. Browser Tools*
- *Bookmarks* — kuhifadhi links muhimu
- *History* — historia ya vitu ulivyoweka
- *Downloads folder* — mafaili ulio‑download
---
No comments:
Post a Comment