KB69online Wikipedia

Search results

Friday, January 9, 2026

πŸ‡¨πŸ‡°Zidi kujua mambo mbali mbali kwa kuclick read more

 Protocols ni *kanuni* zinazofanya kompyuta ziungane bila mzozo.


- *TCP/IP* — Huratibu jinsi data inavyogawanyika sehemu ndogo (packets) na kutumwa.

- *HTTP/HTTPS* — Jinsi browsers huomba data kutoka kwenye servers.


πŸ“Œ HTTPS ina “s” ya *secure* — ina maana data imefichwa (*encrypted*).


---


*4. Servers na Clients*

- *Server* — Kompyuta yenye kuhifadhi data (mf: website).

- *Client* — Kompyuta au simu inayoomba data kutoka server.


Mfano: Wakati unatumia browser kutafta = client → server → response.


---


*5. IP Address*

Ni namba ya kipekee kwa kila kifaa kuweza kutambulika mtandaoni, kama vile:

*192.168.1.101*  

Au kwa IPv6: *2001:0db8:85a3::ac1f:8001*


---


πŸ“Ά *SEASON 2: Jinsi Internet Inavyofanya Kazi*


*6. Domain Name na DNS*

- *Domain Name* ni jina kama *google.com*

- *DNS (Domain Name System)* inawezeshwa kutafsiri domain kuwa IP.


Mfano:  

User → Google.com → DNS → 142.250.72.206 → Server reply


---


*7. Modem & Router*

- *Modem* — Hubadilisha ishara ya mtandao kutoka ISP ikawa data simu/computer inaimudu.

- *Router* — Inagawa mtandao kwa vifaa vingi (Wi‑Fi).


---


*8. Bandwidth na Speed*

- *Bandwidth* ni uwezo wa internet kusaidia *data per second*.

- *Speed* ni kasi halisi unayopata wakati wa kutazama/ku‑download.


---


*9. LAN vs WAN*

No comments:

πŸ‡±πŸ‡· kwa wale wanao penda kujua zaidi unaweza ukaandika kwenye comment apo **share more explanation** nitawaletea inategemeana na ushirikiano wenu

 87. *AI* – Artificial Intelligence   88. *RPA* – Robotic Process Automation   89. *QR* – Quick Response (Code)   90. *GIF* – Graphics Inter...